Top Stories

Huu ndo mji ambao huruhusiwi kufa!

on

Leo June 20, 2018 nakusogezea stori kutoka nchini Norway ambapo unaambiwa kuwa katika mji wa Longyearbyen nchini humo Mtu haruhusiwi kufa kwa sababu akifa mwili wake hautaharibika kutokana na eneo hilo kukabiliwa na baridi sana.

Wakazi wa eneo hilo wanaamini kuwa kutoharibika kwa miili kutawavutia Wanyama wakali wa mwituni katika mji wao huo na kuhatarisha maisha yao.

Hivyo kutokana na sababu hiyo Wakazi wa eneo hilo ambao wanaonekana kukaribia kufa huondolewa katika mji huo na kupelekwa miji mingine.

Aidha unaambiwa kuwa katika mji huo kuna eneo la makaburi ambalo halijawahi kutumika toka mwaka wa 70 sasa.

Vilio vyatawala kuagwa Miili ya askari 10 JKT, Jeshi laamua kuunda Tume

Soma na hizi

Tupia Comments