Top Stories

Ilipofikia Hospitali iliyomkasirisha Waziri Jafo Arusha, DC afunguka hakuna Arusha hapa (+video)

on

Baada ya Waziri wa TAMISEMI Suleiman Jafo kutoa agizo la kuanza kazi kwa Hospitali ya Wilaya ndani ya wiki mbili, Leo June 14, 2019 Mkuu wa Wilaya pamoja na Mkurugenzi wameanza hatua za awali na kusema hakuna rushwa iliyotumika na kwamba wako makini na muda si mrefu huduma hizo zitaanza kutolewa.

TAZAMA MWANAFUNZI KIPOFU ALIYEONGOZA KITAIFA KIDATO CHA AKIPOKEA TUZO NA FEDHA

Soma na hizi

Tupia Comments