Top Stories

“Yoyote atakaye washawishi Warundi wasirudi kwao tumejipanga” Lugola (+video)

on

Waziri wa Mambi ya Ndani ya nchini Tanzania,Kangi Lugola amesema Serikali haitavumilia watu au mashirika yatakayokwamisha mchakato wa kuwarejesha wakimbizi wa Burundi nchini kwao.

Idadi kubwa ya wakimbizi wapo tayari kurudi nchini mwao kwa hiari na hasa baada ya hali ya ulinzi na usalama kuimarika,lakini wapo watu na mashirika ambao wanakwambisha na kuweka vikwanzo zoezi hilo lisifanikiwe,Tutafanya uchunguzi na tutakaowabaini tutawachukulia hatua kali” Kangi Lugola

WAZIRI LUGOLA AKIWA SITE “TUNATUMIA WAJESHI, TUMEWASHTUKIA HAWA WANAPIGA”

 

Soma na hizi

Tupia Comments