Top Stories

Tamko la Chuo cha Kampala baada ya Mwanafunzi wao Anifa kuuawa (+video)

on

Mwakilishi wa Chuo cha Kampala University amezungumza kwa niaba ya Chuo hicho juu ya Mwanafunzi wa Stashahada ya Maabara Anifa Mgaya ambaye alifariki dunia Jumapili usiku baada ya kushambuliwa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali na watu wasiojulikana.

MAUAJI YA MWANACHUO WA KAMPALA: MAMBOSASA ATOA MAAGIZO “LAZIMA TUTAJIBU”

Soma na hizi

Tupia Comments