Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Kijana Rajab amefariki, mapya yaibuka fedha zilizochangwa (+Audio)

on

Taarifa iliyotufikia leo June 20, 2019 ni kuhusu kifo cha Kijana Rajab Nassoro ambaye amefariki dunia alfajiri ya June 19, 2019 ambae alikuwa akisumbuliwa na Kansa kwa kipindi kirefu na kusaidiwa na Watanzania pesa za matibabu.

AyoTV tumeongea na Flora Mkurugenzi wa Nitetee Foundation ambaye alikuwa akihamasisha kumchangia Kijana Nassoro.

ULIYAJUA HAYA KUMI KUHUSU BARACK OBAMA? ‘KULA MBWA, KUVUTA BANGI’

Soma na hizi

Tupia Comments