Top Stories

“Rais Magufuli ameagiza maeneo ya Jeshi yasifanyiwe miradi binafsi” Masauni (+video)

on

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Injinia Hamad Masauni amefanya ziara ya kukagua miradi inayoendeshwa na Jeshi la Polisi ikiwemo Kituo kipya cha Polisi cha Oysterbay, nyumba ya Askari Polisi Mikocheni na Kunduchi.

Mbali na mambo mengine, Injinia Masauni ametoa maagizo akisema kwamba hawataki maeneo ya Jeshi yatumike kwa ajili ya miradi binafsi ambapo maelekezo hayo yametolewa na Rais John Magufuli, huku yeye akifanya ziara hiyo kwa lengo la kuangalia miradi imefikia wapi.

INJINIA AMEJINYONGA KWA SURUALI, KAMANDA KAONGEA “MAREHEMU ALIOMBA RUSHWA”

Soma na hizi

Tupia Comments