Habari za Mastaa

Irene Uwoya aitwa TCRA, aomba msamaha (video)

on

Leo July 19, 2018 baada ya Mwigizaji Irene Uwoya aliitikia wito wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuhusu kuweka picha za nusu utupu kwenye mtandao wake wa Instagram juzi kati, hii video hapa chini ina kila alichokisema Uwoya leo.

MOBETTO: ‘Nitakuwa Balozi mzuri, NAOMBA MSAMAHA KWA PICHA ZANGU’

BREAKING: MAAMUZI YA TCRA KWA IRENE UWOTA NA HAMISA MOBETTO, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments