Top Stories

Aliedaiwa kujichomeka kwenye msafara wa RC Gambo nakuitwa tapeli afunguka (+video)

on

Moja ya stori iliyopostiwa kwenye Instagram ya Millardayo ni kumhusus jamaa alieonekana kwenye msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha ambapo aliitwa tapeli baada ya kudaiwa kujichomeka katika msafara huo.

Leo June 14, 2019 AyoTV imemnasa ambapo amesema kwamba suala hilo liko kwenye Vyombo vya Usalama na Watu wamuache afanye kazi.

ILIPOFIKIA HOSPITALI ILIYOMKASIRISHA WAZIRI JAFO ARUSHA, DC AFUNGUKA “HAKUNA RUSHWA HAPA”

Soma na hizi

Tupia Comments