Top Stories

Waliokata watu makoromea wahukumiwa kunyongwa hadi kufa (+video)

on

Washtakiwa watatu wa kesi ya mauaji kwa kukata watu koromeo Mkoani Kagera yaliyofanyika mwaka 2015, leo June 19, 2019 Mahakama Kuu Tanzania Kanda ya Bukoba imewahukumu kunyongwa hadi kufa baada ya kutiwa hatiani.

Wash takiwa hao ni Ngesera Joseph, Rashid Athuman na Aliyu Dauda.

ALICHOZUNGUMZA MBOWE, ZITTO NA FATMA KARUME KATIKA KESI YAO ARUSHA

Soma na hizi

Tupia Comments