Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Kamanda kazungumza kuhusu Mwalimu Mkuu aliempa Mwanafunzi wake ujauzito “aliachiwa” (+video)

on

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma Martin Ottieno amezungumza kuhusiana tuhuma zinazomkabili Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Nyantole Jonson Rwekaza baada ya kutuhumiwa kumpa ujauzito Mwanafunzi wake wa darasa la saba katika Shule hiyo.

Kamanda Ottieno amesema baada ya Jeshi hilo kupata taarifa walimkamata Mtuhumiwa kwa mahojiano zaida na baada ya hapo alipata dhamana huku upelelezi ukiendelea.

MAMA WA MTOTO ALIYEPEWA UJAUZITO NA MWALIMU MKUU AFUNGUKA “ANABEBESHA MIMBA WATOTO”

Soma na hizi

Tupia Comments