AyoTV

Alichokifanya Dr Tulia kwa watoto wenye ulemavu Mbeya

on

March 8, 2018 Naibu Spika Dr Tulia Ackson alisafiri hadi katika shule ya msingi Katumba II yenye mchanganyiko wa wanafunzi wakiwemo walemavu mbalimbali iliyopo Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya ambapo alienda kutoa msaada wa vifaa ikiwemo baiskeli 10 za walemavu, mafuta ya walemavu wa ngozi, kofia, karatasi kwa ajili ya wasioona hii ikiwa ni mwendelezo wa misaada ambayo amekuwa akiitoa katika shule hiyo.

Pia Dr Tulia kwa kupitia taasisi yake ya TULIA TRUST ameahidi kujenga darasa la watoto wenye ulemavu wa akili pamoja na kuboresha miundombinu katika shule hiyo.

“Vita yao ilikuwa ni kubwa kuliko hii ya kwetu” –Dr Tulia

Soma na hizi

Tupia Comments