Premier Bet
TMDA Ad

Mix

Masharti yatolewa kwa Waislamu wanaokwenda Hijja”Tupo serious”(+video)

on

Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA) limezindua kampeni ya maandalizi ya Hijja mwaka 2019, huku lengo likiwa ni kuhamasisha waumini kujiandaa mapema na ibada hiyo.

Mratibu wa Hijja upande wa Tanzania Bara, Sheikh Mussa Hemed amesema kampeni hiyo itakuwa na vikundi ambavyo vitasafiri maeneo mbalimbali kwa ajili ya  Kuhamasisha Waislamu kote nchini kuhusu ibada ya Hijja.

Mbali na uzinduzi huo Bakwata pia wametangaza taasisi 17 ambazo zitasafirisha mahujaji kwenda nchini Saud Arabia itakapofanyika ibada hiyo.

EXCLUSIVE: WATANZANIA WAGUNDUA DAWA YA WIZI WA MAGARI

Soma na hizi

Tupia Comments