Kwa mwaka 2021 maadhimisho ya sita ya wiki ya Utafiti na Ubunifu yatafanyika jijini Dar es Salaam katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Maonesho hayo yatafanyika Chuo Kikuu Dar es Salaam kuanzia May 24-26 2021 Maktaba mpya ya Chuo Kikuu Dar es Salaam, mgeni Rasmi atakuwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
Wakati wa kufunga mgeni rasmi atakuwa Waziri wa Elimu Joyce Ndalichako huku wazungumzaji wakuu wakiwa MO Dewji na Prof. Hulda Shaidi Swai.