Top Stories

MAAFA YA MVUA: Watu wasombwa na maji “Tunakufa maskini analia” (+video)

on

Mawasiliano kati ya Mkoa wa Mbeya na Tabora yamekatika baada ya daraja la Mto Lupa linalounganisha Mji mdogo wa Makongorosi na Chunya Mjini kuvunjika na kusababisha baadhi ya wananchi waliojaribu kuvuka kwa miguu kupoteza maisha.

RC CHALAMILA AWASHA MOTO ENEO LENYE MAAFA YA MVUA “NITAWATIA NDANI”

Soma na hizi

Tupia Comments