Top Stories

Maagizo ya Waziri Ummy “lazima masoko yote na stendi ziwekewe visima vya maji” (+video)

on

Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema Serikali imejifunza kupitia moto uliotokea Karikaoo na kusema kuanzia sasa Masoko yote makubwa yanayomilikiwa na Halmashauri na Stendi kubwa wakianzia na Stendi ya Magufuli iliyopo Mbezi, zitawekwa vifaa vya kuzimia moto pamoja na visima vya maji ili kukabiliana na majanga ya moto.

“Masoko yote yanayomilikiwa na Halmashauri zetu, hususani Masoko makubwa, Stendi zetu zote ambazo zinamilikiwa na Halmashauri zetu tutahakikisha zinakuwa na visima vya maji, ili kuweza kukabiliana na majanga haya ya moto” Ummy

Soma na hizi

Tupia Comments