AyoTV

VIDEO: Rais Magufuli kuipeleka serikali yote Dodoma

on

Moja ya headline zilizotawala leo July 23 2016 kwenye vyombo vya habari ni pamoja na hii ya  Rais John Pombe Magufuli kukabidhiwa rasmi nafasi ya uenyekiti wa chama cha mapinduzi CCM baada ya kupigiwa kura za ndio 2398 kutoka kwa wanachama wa chama hicho ambapo hakuna kura hata moja ya hapana wala iliyoharibika.

Katika hotuba yake Rais Magufuli akasimama kuzungumzia suala la serikali kuhamia Dodoma, ambapo amesema kuwa kabla ya miaka yake mitano ya uongozi atahakikisha yeye na viongozi wote wanaomfuata wanahamia Dodoma ikiwa ni kuonyesha dhamani ya makao makuu ya nchi.

ULIIKOSA HII MANENO YA JK KWA WALIOSEMA CHAMA KINGEMFIA

Soma na hizi

Tupia Comments