Top Stories

MAAJABU: Mtoto mdogo afufuliwa Moshi, akutwa na ulimi mrefu, Mama azungumza

on

Leo March 7, 2019 Kijana Daniel Jackson aliyefariki December 2018 amedaiwa kufufuliwa na mtaalamu wa tiba za jadi huku ikielezwa kwamba alichukuliwa ‘msukule’ ambapo Mama yake mzazi amesema alifariki katika mazingira ya kutatanisha huku akisema sasa hivi anaweza kuzungumza na atampeleka shule.

JAFO KIFO CHA KIBONDE: “HII NI BREAKING NEWS KWANGU, HAWEZI KUWA MZURI MPAKA AFE”

 

Soma na hizi

Tupia Comments