Premier Bet
TMDA Ad

Breaking News

BREAKING: Tamko la CUF ya Maalim Seif kuhusu wabunge 7 walioapishwa jana

on

Jana September 5 2017 wabunge wapya wa CUF waliapishwa bungeni, sasa leo upande wa Katibu Mkuu wa chama hicho, Maalim Seif wamekutana na wanahabari kwa ajili ya kutoa tamko lao kuhusu kuapishwa kwa wabunge hao. Unaweza kutazama LIVE kwa kubonyeza play hapa chini

Tupia Comments