Habari za Mastaa

Maamuzi ya The Rock baada ya director wake kufariki kwa kupigwa Risasi

on

Mwigizaji wa Marekani Dwayne Johnson ‘The Rock’ ameahidi kuacha kutumia silaha za moto kwenye movie zake kutokana na kifo cha Director wa movie Halyna Hutchins (42) ambaye alifariki kwa kupigwa risasi kwa bahati mbaya na Mwigizaji Alex Baldwin wakati wakiwa location kurekodi filamu iitwayo ‘Rust’ nchini Marekani.

The Rock amesema kwa sasa watatumia silaha za bandia ambazo hazina madhara “hatuhofii pesa (Dollars) tutakazopoteza kwa filamu kukosa ule uhalisia wenyewe ila maisha ya Watu ni muhimu zaidi”

MBELE YA UMATI MREMBO AKATAA SURPRISE PETE YA UCHUMBA, MWANASAIKOLOJIA AFUNGUKA

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments