Michezo

Maandamano yakwamisha game ya Man United vs Liverpool

on

Mechi ya Man United vs Liverpool iliyokuwa ichezwe katika uwanja wa Old Trafford leo imeahirishwa kufuatia maandamano ya mashabiki wa Man United yaliofanyika leo kushinikiza wamiliki wa Club hiyo familia ya Glazer waachie timu yao.

Mashabiki waliokuwa wameandamana katika uwanja wa Old Trafford wamekasirishwa sana kwa kitendo cha kuiruhusu timu ishiriki European Super League.

Soma na hizi

Tupia Comments