AyoTV

VIDEO: Onyo la Waziri Nchemba kwa Wabunge wanaoshabikia mauaji ya KIBITI

on

Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba alisimama Bungeni leo June 29, 2017 kujibu hoja za baadhi ya Wabunge wakiwemo wanaodai Serikali imeshindwa kumaliza tatizo la mauaji yanayoendelea katika Wilaya ya Kibiti, Pwani huku akiwaonya Wabunge kuacha kutoa kauli ambazo zitawasababisha kuhusishwa kwenye uchunguzi wa awali.

VIDEO: Walichosema Lema na Mnyika kuhusu mauaji ya Kibiti Bungeni leo 

Soma na hizi

Tupia Comments