Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho wa baadhi ya Wakuu wa Mikoa ambapo amemuhamisha aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera Albert John Chalamila kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akichukua nafasi ya Amoss Makalla aliyehamishiwa Mkoani Mwanza.
Mabadiliko mapya wakuu wa Mikoa, Rais Samia apangua, ‘Makalla apelekwa Mwanza, Chalamila DSM’

Leave a comment
Leave a comment