Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Mabadiliko ya tabianchi yanatajwa kuwa tishio la vita dhidi ya Ukimwi
Share
Notification Show More
Latest News
Kenya, Uganda na Tanzania kuandaa AFCON 2027
September 27, 2023
Bosi wa kampuni ya Sabuni aamua kula bidhaa yake kuthibitisha kuwa ni za asili
September 27, 2023
Mazungumzo ya Poland na Ukraine yanaendelea baada ya kupiga marufuku uagizaji wa nafaka
September 27, 2023
Urusi inashutumu Marekani na Uingereza kwa kusaidia kupanga mashambulizi kwenye meli za Bahari Nyeusi
September 27, 2023
Iringa :ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka 7
September 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Mabadiliko ya tabianchi yanatajwa kuwa tishio la vita dhidi ya Ukimwi
Top Stories

Mabadiliko ya tabianchi yanatajwa kuwa tishio la vita dhidi ya Ukimwi

September 19, 2023
Share
2 Min Read
SHARE

Hayo yameelezwa na Taasisi ya Global Fund ambayo imebainisha kwamba, mabadiliko ya tabianchi na mizozo duniani vinakwamisha juhudi za kimataifa za kupambana na magonjwa matatu hatari ambayo ni Ukimwi, Malaria na Kifua Kikuu.

Ripoti ya taasisi hiyo ambayo ni mfuko wa kimataifa wa kupambana na maradhi hayo, inaonesha kwamba ijapokuwa miradi ya kupambana na Ukimwi, Malaria na Kifua Kikuu imerejea kote duniani baada ya kuathiriwa na janga la virusi vya korona, lakini hivi sasa inakabiliwa na vizingiti vinavyotokana na athari za mabadiliko ya tabianchi pamoja na mizozo.

Mkuu wa Taasisi ya Global Fund, Peter Sands, amesema majanga ya kimazingira mfano wa mafuriko yanaongeza idadi ya wagonjwa na hivyo kuwa vigumu matibabu kuwafikia.

Ongezeko la joto pia limefanya ugonjwa kama Malaria kusambaa hata kwenye maeneo ambayo kabla hayakukabiliwa na maradhi hayo. Afisa huyo amesema hali inayoendelea sasa inatishia malengo ya kutokomeza magonjwa hayo matatu ifikapo mwaka 2030.

Hayo yanaripotiwa katika hali ambayo, WHO inakadiria kuwa karibu watu milioni 250 wataambukizwa malaria mwaka huu. Watu milioni 247 waliambukizwa malaria mwaka 2021. Takriban nusu ya watu duniani wanaishi katika eneo ambalo liko hatarini na linaweza kuambukizwa malaria.

Takwimu za Shirika la Afya Duniani zinaonesha kuwa, kwa wastani bara la Afrika linarekodi kesi milioni 200 na vifo 400,000 kwa mwaka vinavyosababishwa na ugonjwa wa malaria.

You Might Also Like

Bosi wa kampuni ya Sabuni aamua kula bidhaa yake kuthibitisha kuwa ni za asili

Mazungumzo ya Poland na Ukraine yanaendelea baada ya kupiga marufuku uagizaji wa nafaka

Urusi inashutumu Marekani na Uingereza kwa kusaidia kupanga mashambulizi kwenye meli za Bahari Nyeusi

Iringa :ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka 7

Ukraine yawashikilia wanaume 2 wanaotuhumiwa kuisaidia Urusi katika mgomo wa Kiev

Geena TZA September 19, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Kane aikubali United asema haya….
Next Article Sudan : Watoto zaidi ya 1,200 wamefariki dunia tangu mwezi Mei
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Kenya, Uganda na Tanzania kuandaa AFCON 2027
Sports September 27, 2023
Bosi wa kampuni ya Sabuni aamua kula bidhaa yake kuthibitisha kuwa ni za asili
Top Stories September 27, 2023
Mazungumzo ya Poland na Ukraine yanaendelea baada ya kupiga marufuku uagizaji wa nafaka
Top Stories September 27, 2023
Urusi inashutumu Marekani na Uingereza kwa kusaidia kupanga mashambulizi kwenye meli za Bahari Nyeusi
Top Stories September 27, 2023

You Might also Like

Sports

Kenya, Uganda na Tanzania kuandaa AFCON 2027

September 27, 2023
Top Stories

Bosi wa kampuni ya Sabuni aamua kula bidhaa yake kuthibitisha kuwa ni za asili

September 27, 2023
Top Stories

Mazungumzo ya Poland na Ukraine yanaendelea baada ya kupiga marufuku uagizaji wa nafaka

September 27, 2023
Top Stories

Iringa :ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka 7

September 27, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?