Habari za Mastaa

Mabibi na mabwana Alikiba ametuletea mdundo mpya uitwao Mama

on

Msanii kutokea Bongo Flevani, Alikiba ametuletea wimbo huu mpya uitwao Mama.

Wimbo huu ameimba yale yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika uongozi wake wa awamu ya Sita.

Tupia Comments