Video Mpya

Mabibi na Mabwana Alikiba katuletea ‘Salute’ akiwa na Rudeboy

on

NI Mkali kutokea kwenye kiwanda cha Bongo Fleva, Alikiba ambae time hii ametuletea video mpya ya wimbo uitwao Salute aliyomshirikisha mkali kutoka Nigeria Rudeboy, unaweza ukabonyeza play kuitazama kisha usisahau kuandika neno lolote ili wakali hao wakipita wasome mlichokiandika.

DIAMOND USO KWA USO NA BUSTA RHYMES AMUITA ‘MICHAEL JACKSON WA AFRICA’

Soma na hizi

Tupia Comments