Habari za Mastaa

Mabibi na Mabwana Diamond anakukaribisha kuitazama hii video mpya ya Gidi

on

Ni Mkali kutokea Bongo Fleva, Diamond Platnumz ambae time hii ameachia rasmi video mpya ya wimbo wake uitwae Gidi.

Katika video hiyo ameonekana mrembo aliyewahi kuhusika katika video ya Jeje aitwae Malaika, unaweza ukaitazama hapa kisha usisahau kuandika neno lolote ili mkali huyo akipita asome mlichomuandikia.

 

Soma na hizi

Tupia Comments