NI Headlines za staa kutokea Bongo Flevani, Juma Jux ambae time hii ametuletea wimbo wake mpya uitwao Covid-19 aliyomshirikisha Maua Sama, unaweza ukabonyeza play kuusikiliza hapa, kisha usisahau kuandika neno lolote ili wakali hao wakipita hapa wasome ulichowaandika
Mabibi na Mabwana Jux katuletea wimbo mpya akiwa na Maua Sama ‘Covid-19’ (Audio+)

Leave a comment
Leave a comment