Mkutano wa saba wa bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania umeendelea tena leo May 4, 2017 ambapo wabunge walikuwa wakijadili na kuchangia makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa maka 2017/2018 katika Wizara ya Afya, ustawi wa jamii, jinsia, wazee na watoto ambapo Mbunge wa viti maalum CCM Azza Hamad amezungumzia changamoto za huduma za afya nchini.
VIDEO: Alichokiongea Salma Kikwete bungeni leo
BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo