Mix

VIDEO: Moses Machali kayataja Mambo mawili yaliyomfanya ahamie CCM

on

Leo kwenye mkutano mkuu maalum wa CCM, aliyekuwa mbunge wa Kasulu kwa tiketi ya NCCR kabla ya kuhamia ACT Wazalendo, Moses Machali ametangaza rasmi kuhamia CCM na amezitaja sababu mbili zilizomfanya afanye hivyo ikiwemo utendaji wa Rais Magufuli. Bonyeza play hapa chini kutazama.

FULLVIDEO: M/kiti CCM, Rais Magufuli akihutubia mkutano mkuu maalum Dodoma, Bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments