Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Machinga wa Tegeta wafunguka ‘Usafi ni tatizo sokoni, tumepokea vifaa vya Milioni 5’
Share
Notification Show More
Latest News
Maboresho ya bandari kusaidia ufanisi katika kazi.
September 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 30, 2023
September 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 30, 2023
September 30, 2023
Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
September 29, 2023
Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu
September 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Machinga wa Tegeta wafunguka ‘Usafi ni tatizo sokoni, tumepokea vifaa vya Milioni 5’
Top Stories

Machinga wa Tegeta wafunguka ‘Usafi ni tatizo sokoni, tumepokea vifaa vya Milioni 5’

April 1, 2023
Share
2 Min Read
SHARE

Wafanyabiashara wadogo wadogo maarufu kama ‘Machinga’ katika soko la Tegeta Nyuki Dar es Salaam wamesema kwamba suala la usafi katika masoko bado ni tatizo hasa kutokana na ukosefu wa vifaa mbalimbali kwa kuzolea taka.

Hayo yamebainishwa na Weche Moshi ambaye ni Katibu wa Soko hilo baada ya kufanya usafi kwa kushirikiana na Wadau wa Mazingira ambao pia wamewakabidhi vifaa vya usafi vyenye thamani ya Shilingi Milioni Tano.

“Soko la Tegeta Nyuki lipo mbali na City Center lakini huwezi kuamini wadau wametutembelea, lakini tunashukuru vifaa vyote vya usafi tumeachiwa na tutavitumia kama uongozi wa soko,”.

“Suala la usafi kwenye masoko bado ni tatio lakini kama mlivyoona nyie ni mashuhuda tumefanya kazi kubwa na hii kazi tutaendelea kuienzi, tunaenda kutengeneza utayari na utaratibu wa usafi kwa kila maeneo ili kuepukana na mlundikano wa takataka za muda mrefu,”amesema Katibu.

Kwa Upande wake, mdau wa Sekta ya Mazingira, Denis Kato amesema—“Nikiwa kama mdau wa mazingira, napenda mazingira masafi napenda mazingira kwa sababu ni uhai na bila kuwa na mazingira mazuri katika maeneo mbalimbali biashara hazitawezekana,”.

“Kwa siku ya leo tukasema turudi kwa wale tunaowahudumia kwa ajili ya kutengeneza mazingira masafi katika maeneo yao ya biashara, kama hapa tupo katika soko la Tegeta Nyuki kuna Wajasiriamali mbalimbali ambao kimsimgi tunawahudumia, tukasema tuje tuungane nao na kuwahamasisha kufanya usafi tukiwa kama wadau wa mazingira,” amesema Kato.

 

 

You Might Also Like

Maboresho ya bandari kusaidia ufanisi katika kazi.

Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu

Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA

Rais wa Urusi Vladimir Putin akutana na kamanda mkuu wa zamani wa Wagner Group

Flamengo ya Brazil yamtimua kocha Jorge Sampaoli huku wakimtazamia Tite

Edwin TZA April 1, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Picha: Maafisa habari washuhudia maboresho ya Miundombinu, mifumo katika bandari ya DSM
Next Article Video: RC Shigella atoa tamkoa kufuatia Wananchi kuchoma kituo cha Polisi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Maboresho ya bandari kusaidia ufanisi katika kazi.
Top Stories September 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 30, 2023
Magazeti September 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 30, 2023
Magazeti September 30, 2023
Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
Sports September 29, 2023

You Might also Like

Sports

Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea

September 29, 2023
Sports

Update ya afya ya Christopher Nkunku aonesha video kutokea gym…

September 29, 2023
Sports

Man Utd wamethibitisha kurejea kwa Antony kwenye shughuli za kikosi cha kwanza

September 29, 2023
Sports

Nahodha wa Bayern Neuer arejea mazoezini miezi 10 baada ya kuvunjika mguu

September 29, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?