Habari za Mastaa

Macvoice ametuletea hii collabo yake akiwa na Mbosso, itazame hapa

on

NI Msanii kutokea Lebo ya Next Level Music, Macvoice ambae time hii ametuletea hii video mpya ya wimbo wake uitwao Only You aliyomshirikisha Mbosso.

Unaweza ukabonyeza play kuutazama kisha usisahau kuandika neno lolote ili mkali huyo akipita asome mlichokianadika.

GUMZO!! VITUKO VYA MO DEWJI VYAWASHANGAZA WATU MTANDAONI, AAHIDI KUACHIA VIDEO NYINGINE

 

Soma na hizi

Tupia Comments