Habari za Mastaa

Madam Rita kazungumza na waandishi kuelekea fainali za BSS

on

Jaji mkuu wa mashindano ya Bongo Star Search Rita Pauslen ( Madam Rita) amezungumza na waandishi wa habari kuhusu fainali ya mashindano hayo inayotarajiwa kufanyika siku ya Jumanne ya December 24, 2019 na wanaoshiriki kwenye fainali hizo ni wale waliofika top five.

Bonyeza PLAY hapa chini kufahamu zaidi kuhusu fainali hizo.

MWIGIZAJI WA KENYA KAFUNGUKA ALIVYOTOKA KIMAPENZI NA ALIKIBA NA KUMCHORA TATTOO

Soma na hizi

Tupia Comments