Habari za Mastaa

Hivi ndivyo Nmb ilivyotoa Madawati Zanzibar.

on

znz Benki ya Nmb imekabidhi msaada wa Madawati kwa shule ya msingi Kitope iliyopo Mjini Zanzibar akipokea msaada huo toka kwa Kaimu Meneja wa tawi la NMB Zanzibar Bakar Mohamed,Mwalimu Mku wa shule ya msingi Kitope Bw. Jaha Khamis amemshukuru Kaimu Meneja wa tawi la NMB Zanzibar.

DSC_0403Msaada huu wa madawati umetolewa na NMB kwa shule ya msingi Kitope maalum kupunguza uhaba wa madawati unaoikumbuka shule hiyo ambapo NMB imetoa jumla ya madawati 50 katika shule hiyo.

Tupia Comments