Habari za Mastaa

Madee kamuandikia wimbo huu Marehemu Abdul Bonge kwenye siku yake ya kuzaliwa.

on

Ilikua ni Jumamosi ya March 28 2015 ambapo zilianza kusambaa taarifa za kifo cha Miongoni mwa Waanzilishi wa kundi la Tip Top Connection Abdul Bonge,kifo ambacho inasemekana kilisababishwa na ugomvi ambao Marehemu Abdul Bonge alienda kuamulia kwa bahati mbaya akasukumwa akadondoka na kufariki.

Madee kaamua kuingia studio na kurekodi wimbo huu kwa ajili ya kumbukumbu kwenye siku hii ya December 31 ambayo marehemu Abdul Bonge kama angekua hai angekuwa anasherehekea siku yake ya kuzaliwa,wimbo umetengenezwa kwenye studio za Mj Records.

  Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Tupia Comments