Habari za Mastaa

Madee atoa ya moyoni “Nimekamatwa kweli kabisa nilikuwa mwizi” (+video)

on

Staa wa Bongofleva Madee ametoa ya moyoni kwa kueleza maisha yake kabla hajaanza kuimba “Manzese, tulikuwa tunaiba, tunakaba ili mradi maisha yaendelee kwa hiyo ni kweli kabisa nimepitia kwenye hayo mambo”.

DEREVA ATEKWA AUAWA AKIDAIWA AMEBEBA DAWA ZA KULEVYA, DIWANI MFICHUA MAOVU AIBUKA NALO

Soma na hizi

Tupia Comments