Madee ameshare picha zinazomuonesha akiwa katika Uwanja wa Club ya Arsenal inayoshiriki ligi kuu England, akiwa amebeba picha ya Rais Samia na Bendera ya Tanzania Uwanjani hapo
Madee ameshiriki katika moja ya mechi za team hiyo ya Arsenal ambayo ni team yake pendwa.. na amekua akisafiri mara kadhaa kwenda huko kwaajili ya kutazama team yake ikicheza michezo ya ligi kuu nchini humo kama sehemu ya mapumziko yake…