on air with millardayo

VIDEO: Madee asema ‘nilitegemea video ya Snura kufungiwa ila….’

on

Madee ambaye ni mmiliki wa single mpya ya ‘migulu pande’ amekaa na OnAIRwithMillardAyo na kueleza vitu mbalimbali kuhusu kufungiwa kwa video ya ‘chura‘ ya Snura na kusema alitegemea video hiyo kufungiwa ila kuna vitu haviko sawa.

Madee kwenye hii Exclusive inayopatikana kwenye Youtube page ya TigoTanzania ameongelea pia ishu inayomkabili sasa hivi ya kudaiwa milioni tatu za Kitanzania na wazazi wa binti aliyepata nae mtoto miaka kadhaa iliyopita ambapo Madee amedaiwa kiasi hicho cha pesa baada ya kusema anataka kumchukua mtoto wake.

Mtazame Madee kwenye full video hapa chini..

ULIIKOSA INTERVIEW YA SNURA KUHUSU KUFUNGIWA KWA CHURA? TAZAMA HAPA CHINI…

Soma na hizi

Tupia Comments