on air with millardayo

Baada ya Madee kusikia matusi ya Dogo Janja kwenye ile sauti ya simu iliyosambaa.

on

Juzi kati msanii wa bongofleva Dogo Janja alijikuta kwenye vichwa vya habari baada ya kuvujishwa kwa sauti yake kwenye maongezi ya kumtongoza msichana kwenye simu ambapo akajikuta ameilalamikia Tiptop Connection kwa kuchelewa kuachia nyimbo zake mpya ili kuuvunja ukimya wa zaidi ya miaka miwili.

Kwenye hayo maongezi ya simu Dogo Janja alijikuta ametoa matusi kwa Tiptop na alikua huru kuongea mambo mengi sababu alijua ni maongezi ya kawaida ya simu na kwanza alikua hana idea hata kama yanarekodiwa, sasa Boss na kiongozi wa Janja ambaye ni Madee ameyasikia yale matusi na anatueleza mkasa mzima na kinachofata.

Unaweza kuisikiliza sauti yenyewe ya maongezi ya simu ya Dogo Janja na Msichana aliyekuwa akimtongoza

MUME KAENDA KAZINI WIFE KALETA MCHEPUKO NYUMBANI…. TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments