Top Stories

Madereva 19 waliotangazwa wana Corona Kenya, wakutwa Negative DSM

on

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo ametangaza kuwa madereva 19 waliotoka Tanzania, wakapimwa mpakani Namanga na Serikali ya Kenya kutangaza kuwa wana corona wamepimwa upya kwenye maabara Kuu ya Taifa Dar es salaam na kubainika kuwa hawana virusi hivyo.

BIBI KIZEE AMWAGA MACHOZI, ATAKA KUTIMULIWA KWENYE NYUMBA ALIYOKAA MIAKA 58, DC AZUIA “ATAMNYOOSHA”

Soma na hizi

Tupia Comments