AyoTV

VIDEO: Mazishi ya Tajiri aliyefariki kwa kuungua moto Mwanza

on

Story kubwa kutoka Mwanza mwishoni mwa wiki ilikuwa ni kuhusu kifo cha aliyekuwa mfanyabiashara maarufu Mwanza mzee Maduhu Masunga maarufu kama Mzee Shinyanga ambaye alifariki kwa ajali ya moto.

Sasa new story ni kwamba mwili wake umeagwa na kuzikwa katika tukio lililohudhuriwa na watu mashuhuri wakiwemo viongozi wa Mkoa na Wabunge wa Nyamagana na Ilemela.

Ayo TV na millardayo.com zilikuwepo na zimekusogezea tukio zima kwenye hii video ambayo unaweza kutazama kwa kubonyeza PLAY!!!

Watoto wasimulia baba yao alivyofariki kwa moto, Mwanza!!!

Soma na hizi

Tupia Comments