Top Stories

Madhara ya kutumia toothpick kwenye jino na faida za apple mdomoni (+video)

on

AyoTV na millardayo.com imezungumza na Dakatri Bingwa wa Meno Mariam Ali Mtanda ambapo leo anatueleza madhara ya kutumia toothpick kutoa uchafu kwenye meno na faida za kula tunda la apple.

“Kama Daktari sishauri utumie toothpick maana inaleta madhara kuliko faida, toothpick unatumia nguvu kutoa uchafu jinoni hivyo unaharibu fizi, yani unai-push fizi siku ingine ukila vyakula vinaingia zaidi, vikiingia ina maana utatumia nguvu kutoa” Dr. Mariam

TANESCO WABOMOA NYUMBA 32 ARUSHA “OPERESHENI ENDELEVU HAWA WAMEVAMIA”

Soma na hizi

Tupia Comments