Breaking News

BREAKING: Serikali imepokea taarifa ya madini yaliyozuiwa Airport DSM

on

Muda huu kutokea uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Waziri wa fedha na mipango’ Dkt. Philip Mpango anapokea taarifa ya madini ya Almasi yaliyokamatwa yakisafirishwa kwenda nje ya nchi na kuzuiwa.

Bonyeza play hapa kuitazama!!!

IGP Sirro kaongelea ishu ya Tundu Lissu kupigwa risasi

Soma na hizi

Tupia Comments