Ni headlines kutokea katika Halmashauri ya Wilaya ya Gairo ambapo baadhi ya Madiwani wa CCM wamelalamikia taarifa iliyodaiwa kutolewa na Mkuu wa Wilaya hiyo Siriel Mchembe kwamba Halmashauri yake imeshindwa kutenga fedha kutokana zinazokadiriwa kufikia Milion 460 zilizotolewa kama sehemu ya malipo mbalimbali kwa madiwani.
“UNAENDESHWA NA BINADAMU ETI ANA NDUMBA UNACHINJA KISA KUTAKA UBUNGE”