AyoTV

VIDEO: Watu na vipaji vyao, JK Comedian kaitendea haki sauti ya hayati Madiba

on

Msanii JK Comedian ni moja  ya vijana wa kitanzania waliobarikiwa kuwa na kipaji cha kipekee ikiwemo uwezo wake wa kuigiza sauti za watu tofauti wakiwemo watu mashuhuri duniani, hapa jamaa ametisha kwa kuigiza sauti ya Rais wa zamani wa Afrika kusini Nelson Mandela ambaye siku kama ya leo July  18 1918 alizaliwa.

Ukimaliza kuitazama hii video hapa chini ntaomba unidondoshee comment yako kuniambia jamaa ametisha kwa asilimia ngapi…

ULIIKOSA HII YA JK COMEDIAN ALIVYOWAIGIZA ORIGINAL COMEDY

Soma na hizi

Tupia Comments