Michezo

LaLiga: Real Madrid hali tete – hiki hapa ndio kilichowakuta dhidi ya Atletico

on

1410633483989_Image_galleryImage_Atletico_de_Madrid_s_TiagMagoli mawili ya Thiago na Arda Turan wa Atletico Madrid yamezidi kuipa mwanzo klabu ya Real Madrid kwenye michuano ya kugombea ubingwa wa La Liga baada ya kukubali kipigo cha magoli 2-1 kwenye mchezo wa ‘Madrid Derby’ uliopigwa kwenye dimba la Santiago Bernabeu. Cristiano Ronaldo alifunga goli la kufutia machozi la Real Madrid lakini halikutosha kuwapa matokeo chanya vijana wa Carlo Ancelloti.

Hiki ni kipigo cha pili kwa Madrid katika kipindi cha siku 14, wiki mbili zilizopita walifungwa 4-2 na Real Sociedad.

Unaweza kuangalia video ya magoli ya mchezo huo hapa chini

All Goals HD Real Madrid vs Atletico de Madrid… by lancepremium

Tupia Comments