Habari za Mastaa

AUDIO: Ngoma Mpya ya Mafikizolo ‘Kucheza’, Vanessa Mdee amehusika kwenye utunzi.

on

Moja kati ya ngoma zilizokuwa zikisubiriwa, ni ‘Kucheza’ ya Mafikizolo wa Afrika Kusini ambayo Vanessa Mdee amehusika katika utunzi wake.

Kuisikiliza ‘Kucheza’ ya Mafikizolo, Bonyeza Play Hapa chini 

Interview ambayo Vanessa Mdee alifanya na AyoTV kabla wimbo huu haujatoka kuhusu kuhusika kwenye kwenye utunzi wa wimbo huo

Vanessa Mdee atakuwa mtanzania wa pili kufanya kazi  na Mafikizolo, wa kwanza akiwa Diamond Platnum walipofanya wimbo wa ‘Colours of Africa’

Bonyeza Play hapa chini kuona Diamond alivyorekodi ‘colours of Africa’ na Mafikizolo South Africa>>>

 

Soma na hizi

Tupia Comments