Top Stories

Mafuriko Hai watu watatu wafariki,gari lasombwa,DC Sabaya anena (+video)

on

Mvua zinazoendelea kunyesha wilayani Hai mkoani Kilimanjaro zimesababisha maafa baada ya watu watatu kudaiwa kufariki dunia kwa kusombwa na gari ndogo walilokuwa ndani yake katika kata ya Masama.

Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya amesema kwa sasa watakaa na kamati ya ulinzi na usalama kwa lengo lakuangalia namna yakuwasaidia wananchi hao.

MWALIMU ALIYEKATWA MKONO NA MUMEWE ADAI TALAKA “HATAKI NIENDE KWA NDUGU”

Soma na hizi

Tupia Comments