Top Stories

MAFURIKO LINDI: Watu wanne wamefariki

on

Watu wanne wamefariki Dunia kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha Mkoani Lindi huku nyumba nyingi zikisombwa na maji na Barabara kuharibika .

“Watu wawili Wilaya ya Lindi na wawili Wilaya ya Ruangwa wamefariki kwa kusombwa na maji, kule Njinjo, Wilayani Kilwa hali ni mbaya tumechukua Boti kwenda kuokoa” – Godfrey Zambi, Mkuu wa Mkoa wa Lindi

“Nawaomba Wananchi hasa wanaotembea kwa miguu na vyombo vya Moto kutotembea usiku kwa kuwa mvua hizi zinapasua sana Barabara” – ZAMBI

BREAKING: MAGUFULI AMTUMBUA LUGOLA “UNANITESA, ONDOKA HAPA SINA URAFIKI KAZINI”

Soma na hizi

Tupia Comments