Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Mafuriko ya wine Ureno,galoni 600,000 zasadikika kumwagika
Share
Notification Show More
Latest News
Mwanamke aliyeshinda taji la Miss Zimbabwe azua mzozo wa ubaguzi wa rangi
September 27, 2023
Indonesia:Wananchi wapigwa marufuku kununua au kuuza bidhaa kwenye mitandao ikiwemo TikTok
September 27, 2023
Ukraine kutumia muda wa ukimya siku ya Jumapili kuwaenzi wanajeshi wake
September 27, 2023
Ukraine imesema haitacheza katika mashindano ya kandanda yanayohusisha timu za Urusi
September 27, 2023
Shule yatozwa faini kwa kutumia picha za watoto bila idhini ya wazazi Kenya
September 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Mafuriko ya wine Ureno,galoni 600,000 zasadikika kumwagika
Top Stories

Mafuriko ya wine Ureno,galoni 600,000 zasadikika kumwagika

September 13, 2023
Share
2 Min Read
SHARE

Wakaazi katika mji ulioko kwenye ufukwe wa bahari nchini Ureno walibaki katika hali ya mshangao baada ya tenki lililokuwa limebeba divai nyekundu ya lita milioni  2.27 kumwagika katika barabara za mitaa ya mji huo na kuzua mafuriko ya divai.

Kwa mujibu wa jarida la New York Post, malori mawili yalikuwa yamebeba matenki yenye yalikuwa yamejaa divai ya kiasi hicho cha lita wakati yalianguka.

Video iliyotumwa mtandaoni ilionyesha kioevu hicho chekundu kikiteremka kwenye mlima mwinuko katika mji mdogo wa São Lourenço do Bairro, nyumbani kwa wakazi 2,000.

Mafuriko ya divai yalikuwa makubwa sana hivi kwamba divai iliyotiririka ingeweza kujaza bwawa la kuogelea la ukubwa wa Olimpiki ilisababisha tahadhari ya mazingira.

Viongozi walichukua hatua kujaribu kuzuia mvinyo, kabla haujaweza kugeuza Mto Certima kuwa divai.

Idara ya Zimamoto ya Anadia ilizuia mafuriko na kuyaelekeza mbali na mto, ambapo yalikimbilia katika uwanja wa karibu, vyombo vya habari vya ndani viliripoti.

Wazima moto walisema chumba cha chini cha ardhi katika nyumba karibu na kiwanda hicho kilikuwa kimejaa mvinyo.

Kwa mujibu wa jarida hilo, Tangu wakati huo kampuni ya Levira Distillery imeomba radhi kwa tukio hilo na kusema ilikomboa ardhi iliyojaa mvinyo.

“Tunachukua jukumu kamili la gharama zinazohusiana na kusafisha na kutengeneza uharibifu, na timu kufanya hivyo mara moja,” ilisema katika taarifa.

You Might Also Like

Mwanamke aliyeshinda taji la Miss Zimbabwe azua mzozo wa ubaguzi wa rangi

Indonesia:Wananchi wapigwa marufuku kununua au kuuza bidhaa kwenye mitandao ikiwemo TikTok

Ukraine kutumia muda wa ukimya siku ya Jumapili kuwaenzi wanajeshi wake

Ukraine imesema haitacheza katika mashindano ya kandanda yanayohusisha timu za Urusi

Shule yatozwa faini kwa kutumia picha za watoto bila idhini ya wazazi Kenya

TAGGED: TZA HABARI
Geena TZA September 13, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Rais Ruto: ushoga haukubaliki nchini Kenya
Next Article Juventus kusitisha mkataba wa Paul Pogba akipatikana na hatia ya matumizi ya dawa za kusisimua misuli
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Mwanamke aliyeshinda taji la Miss Zimbabwe azua mzozo wa ubaguzi wa rangi
Entertainment September 27, 2023
Indonesia:Wananchi wapigwa marufuku kununua au kuuza bidhaa kwenye mitandao ikiwemo TikTok
Top Stories September 27, 2023
Ukraine kutumia muda wa ukimya siku ya Jumapili kuwaenzi wanajeshi wake
Top Stories September 27, 2023
Ukraine imesema haitacheza katika mashindano ya kandanda yanayohusisha timu za Urusi
Sports September 27, 2023

You Might also Like

Entertainment

Mwanamke aliyeshinda taji la Miss Zimbabwe azua mzozo wa ubaguzi wa rangi

September 27, 2023
Top Stories

Indonesia:Wananchi wapigwa marufuku kununua au kuuza bidhaa kwenye mitandao ikiwemo TikTok

September 27, 2023
Top Stories

Ukraine kutumia muda wa ukimya siku ya Jumapili kuwaenzi wanajeshi wake

September 27, 2023
Top Stories

Shule yatozwa faini kwa kutumia picha za watoto bila idhini ya wazazi Kenya

September 27, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?