Mvua zinazoendelea kunyesha katika wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro zimeleta athari baada yakuharibu makazi ya watu,kusomba madaraja pamoja na kusababisha vifo vya watu watatu waliosombwa na maji wakiwa kwenye gari dogo
Mbunge wa jimbo hilo Saashisha Mafuwe ameanza kwa kutoa misaada ya vyakula pamoja na magodoro kwa ajili yakuwanusuru wananchi huku akiomba serikali kuwasaidia
MAFURIKO HAI WATU WATATU WAFARIKI, GARI LASOMBWA, DC SABAYA ANENA “TUTAACHA KIKOSI”